Teodari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Teodari''' (alifariki karibu na Vienne, Ufaransa, 575 hivi) alikuwa mmonaki mfuasi wa Sesari wa Arles ambaye alimweka kuwa mwombezi na mu...'
 
(Hakuna tofauti)

Toleo la sasa la 11:24, 28 Oktoba 2020

Teodari (alifariki karibu na Vienne, Ufaransa, 575 hivi) alikuwa mmonaki mfuasi wa Sesari wa Arles ambaye alimweka kuwa mwombezi na muungamishi wa waumini wa jimbo lake[1]

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Oktoba.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.