Marko wa Yerusalemu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Madaba_Jerusalem_Mosaic.jpg|thumb|[[Ramani]] ya Yerusalemu iliyotengenezwa kama [[mozaiki]] huko [[Madaba]].]]
'''Marko wa Yerusalemu''' (alifariki [[185]]) alikuwa [[askofu]] wa kwanza wa [[Yerusalemu]] ambaye kwa [[asili]] hakuwa [[Myahudi]]<ref>''[[Church History (Eusebius)|Historia Ecclesiastica]]'', V, 12.</ref> kuanzia [[mwaka]] [[134]], wakati ambapo [[mji]] huo ulijengwa upya na Waroma baada ya [[Vita ya tatu ya Kiyahudi]] kama mji wa [[Upagani|Kipagani]], hadi [[kifo]] chake<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/74720</ref>.
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] kama [[mtakatifu]].