Vita vya tatu vya Kiyahudi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Vilifuata vile [[Vita vya kwanza vya Kiyahudi|vya kwanza]] ([[66]]-[[73]]) vilivyotokea katika Yudea na [[vita vya pili vya Kiyahudi|vya pili]] ([[115]]–[[117]]), hasa nje ya [[Palestina]] ([[Libya]], [[Misri]], [[Kupro]] na [[Mesopotamia]]).
 
Pamoja na [[ushujaa]] wa [[Wayahudi]] waliopigania [[uhuru]] wa nchi yao chini ya [[Simoni Bar Kokhba]], hatimaye Warumi walipata [[ushindi]], waliangamiza Wayahudi wengi, walifuta [[mamlaka]] yao ya ndani na kuwafukuza moja kwa moja kutoka [[Yerusalemu]] iliyojengwa upya kama mji wa Kiroma uliotwa Aelia Capitolina. Wayahudi waliruhusiwa kutembela lakini waliweza kurudi tu tangu uvamizi wa Kiislamu mmnamo mwaka 638.
 
==Tanbihi==