Jeradi wa Potenza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mt. Jeradi katika [[kanisa kuu la Potenza.]] '''Jeradi wa Potenza''' (Piacenza, Italia Kaskazini, karne ya...'
 
No edit summary
 
Mstari 2:
'''Jeradi wa Potenza''' ([[Piacenza]], [[Italia Kaskazini]], [[karne ya 11]] - [[Potenza]], [[Italia Kusini]], [[1119]]) alikuwa [[askofu]] wa [[mji]] huo kuanzia [[mwaka]] [[1111]] akawa maarufu kwa [[miujiza]] yake<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/75750</ref>.
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]], ingawa alitangazwa na [[Papa Kalisti II]] [[mwaka]] uliofuata [[kifo]] chake bila [[maandishi]]<ref>http://www.potentiareview.it/2018/09/16/potenza-matera-confronto-sulla-storia/</ref>.
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[30 Oktoba]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.