Kibarabara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wikidata interwiki
Nyongeza jina la Kiswahili
Mstari 16:
* ''[[Miliaria]]'' <small>[[Christian Ludwig Brehm|Brehm]], 1831</small>
}}
'''Vibarabara''' au '''bendera''' ni [[ndege]] wadogo wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Emberizidae]]. Wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu. Kichwa chao kina bombwe bainifu kwa kawaida. Vibarabara wanatokea [[Afrika]], [[Asia]] na [[Ulaya]]. Spishi nyingine za familia hii zinatokea [[Amerika]]. Vibarabara hula [[mbegu]] lakini hulisha makinda [[mdudu|wadudu]]. Hulijenga tago lao kwa [[nyasi|manyasi]] na nyuzinyuzi ardhini au katika [[kichaka]] kifupi. Jike huyataga [[yai|mayai]] 3-5.
 
==Spishi za Afrika==