Gloria Young : Tofauti kati ya masahihisho

Muigizaji wa kike Nigeria
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Gloria Young''' (alizaliwa tarehe 4 February 1967) ni mwigizaji wa kike wa Nigeria aliyeshiriki Zaidi ya filamu 70 na alishinda katika tuzo ya filamu ya Cit...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:56, 31 Oktoba 2020

Gloria Young (alizaliwa tarehe 4 February 1967) ni mwigizaji wa kike wa Nigeria aliyeshiriki Zaidi ya filamu 70 na alishinda katika tuzo ya filamu ya City People Movie Award. [1] [2]

Maisha na elimu

Young alizaliwa katika jimbo la Abia inayopatikana kusini mashariki mwa Nigeria. Alipata elimu ya msingi katika shule ya Fountain iliyopo Surulere, jimbo la Lagos. Alihitimu shule ya upili ya wasichana Methodist iliyopo Yaba Lagos. Young alipata shahada ya sayansi nchini Marekani. [3] [4][5]

Kazi

Young alianza kazi kama mwandishi wa habari[6] Kisha akajihusisha na burudani na kuwa mtumbuizaji katika tamasha la Charly Boy. Kazi yake ya uigizaji ilianza mwaka 1994 alipochukua uhusika katika filamu inayoitwa “Glamour Girls”. [7] Na hatimaye filamu hiyo ilifanikiwa kuwa mradi wenye mafanikio. Young alicheza filamu ya Glamour Girls kama Doris. Filamu hiyo ilihusisha waigizaji maarufu wa Naigeria kama vile Liz Benson, Eucharia Anunobi, Dolly Unachukwu, Zack Orji, Sola Fosudo, Ngozi Ezeonu, Keppy Ekpenyong na Sandra Achums. [8][9][10][11]

Filamu zake

  • Flee
  • Passionate Appeal
  • The Soul That Sinneth
  • Wanted At All Cost
  • Back To Life
  • The Return
  • Deadly Affair
  • Glamour Girls

Marejeo

  1. "I didn’t sleep with anyone to be movie star – Gloria Young". The Sun Nigeria (kwa en-US). 2018-08-11. Iliwekwa mnamo 2019-12-04. 
  2. People, City (2018-09-24). "Winners Emerge @ 2018 City People Movie Awards". City People Magazine (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-10-10. 
  3. "Gloria Young". Africa Magic - Gloria Young (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-12-02. 
  4. Published. "Gloria Anozie-Young, others light up MUSON Festival". Punch Newspapers (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-12-02. 
  5. "'Nollywood has many rivers to cross', Gloria Young | Encomium Magazine" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-12-02. 
  6. "Actress Gloria Young recalls her days as struggling journalist". The Nation Newspaper (kwa en-US). 2018-02-23. Iliwekwa mnamo 2019-12-02. 
  7. guardian.ng https://guardian.ng/saturday-magazine/celebrity/chance-meeting-with-the-beloved-glamour-girl-gloria-young/. Iliwekwa mnamo 2019-12-02.  Missing or empty |title= (help)
  8. "I’ve been having nightmares about Ibinabo — Gloria Anozie-Young". Vanguard News (kwa en-US). 2016-03-31. Iliwekwa mnamo 2019-12-02. 
  9. "Nollywood alternative to prostitution, robbery says Gloria Anozie-Young". Vanguard News (kwa en-US). 2009-08-07. Iliwekwa mnamo 2019-12-02. 
  10. "Gloria Anozie-Young Archives". The Guardian Nigeria News - Nigeria and World News (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-12-02. 
  11. David, Tokunbo (2018-08-11). "I didn’t sleep with anyone to be movie star – Gloria Young". The Sun Nigeria (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-12-02.