Wasabato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 2:
 
Kati ya [[madhehebu]] ya namna hiyo, maarufu zaidi ni [[Waadventista Wasabato]] ambao wamefikia kuwa [[milioni]] 17 [[duniani]] kote. Waadventista wa Sabato wanaamini katika Sabato kuwa ndilo pumziko pekee alilopumzika [[Mwenyezi Mungu]] ([[Mwanzo]] 2:2-3). Mara baada ya kuitakasa siku aliyopumzika alitoa agizo la kukumbukuka, kuheshimu na kuenzi siku hiyo ili iwe ukumbusho na [[agano]] la [[wanadamu]] na Mungu kama wanavyoamini Wasabato.
 
Imani ya wasabato ilianzishwa miaka ya 1800 na mwanadada aitwaye Ellen G. White huko nchini Marekani na mwanamama huyu alidai kuwa yeye ni nabii wa Mungu. Wasabato wanamwita nabii Ellen G. White
 
{{mbegu-Ukristo}}