Isilandi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Infobox country
|native_name = ''Lýðveldið Ísland''
|conventional_long_name = RepublicJamhuri ofya IcelandIsislandi
|common_name = IcelandIsilandi
|image_flag = Flag of Iceland.svg
|image_coat = Coat of arms of Iceland.svg
Mstari 8:
|national_motto =<small>(hakuna)</small>
|national_anthem = [[Lofsöngur]]
|official_languages = [[KiicelandKiisilandi]]
|capital = [[Reykjavík]]
|latd=64 |latm=08 |latNS=N |longd=21 |longm=56 |longEW=W
Mstari 60:
}}
[[Picha:Island-karte.png|thumb|left|280px|Ramani ya Iceland]]
'''IcelandIsilandi''' (pia: '''''Aisilandi''''', '''''Isilandi'''''; Kiiceland: "Nchi ya barafu") ni nchi ya [[Ulaya]] kwenye [[kisiwa]] cha [[Bahari ya Atlantiki]] ya kaskazini. Iko [[km]] 300 kutoka [[Greenland]] upande wa magharibi na km 1000 kutoka [[Norwei]] upande wa mashariki.
 
Eneo lake ni km² 103,000 lakini idadi ya watu ni laki tatu pekee.
Mstari 68:
== Jiografia ==
[[Picha:FlightOverVatnajoekull.jpg|120px|thumb|left|Vatnajökull ni [[barafuto]] kubwa kabisa ya Ulaya]]
IcelandIsilandi ina asili ya ki[[volkeno]]. Ni kisiwa kikubwa cha [[safu]] ya [[mgongo kati wa Atlantiki]] mahali ambako ma[[bamba]] ya [[bamba la Amerika ya Kaskazini|Amerika ya Kaskazini]] na [[bamba la Ulaya-Asia|Ulaya-Asia]] yanakutana. Kwa sababu hiyo kuna milima mingi, hasa [[volkeno]] ni nyingi. Kati ya volkeno mashuhuri za Iceland kuna [[Hekla]], [[Eldgjá]], [[Herðubreið]] na [[Eldfell]].
 
Kwa ujumla [[hali ya hewa]] ni baridi na [[barafuto]] zinafunika sehemu kubwa ya nchi. Hasa [[nyanda za juu]] ni baridi mno, hivyo hakuna [[mimea]]. Karibu makazi yote ya watu ni karibu na pwani.
Mstari 78:
== Historia ==
=== Historia ya awali===
IcelandIsilandi iko mbali na [[bara]] la [[Ulaya]] na la [[Amerika]] tena katika [[mazingira]] ya [[baridi]]. Hivyo inaaminika haikuwa na [[watu]] kabisa hadi mwaka [[800]] [[BK]]. [[Wataalamu]] hawakubaliani kama ni ma[[baharia]] kutoka [[Norwei]] au [[Eire]] waliobahatika kufika [[Kisiwa|kisiwani]] na kujenga makao ya kwanza.
 
Hakika waliofika wengi kidogo walikuwa [[Waviking]] au Wa[[norwei]] wa kale katika [[karne ya 9]]. Kama Waeire walikuwepo walifukuzwa au kuwa sehemu za Waviking. Mtu wa kwanza aliyekumbukwa kwa [[jina]] alikuwa [[Flóki Vilgerðarson]].
Mstari 86:
Mwaka [[985]] Mwiceland aligundua njia ya kufika [[Greenland]] na baadaye [[Amerika ya Kaskazini]]. Mviking "[[Erik Mwekundu]]" alifukuzwa kisiwani kwa sababu alikuwa [[mwuaji]]. Alielekea [[magharibi]] kwa [[jahazi]] yake na kufika kwanza Greenland halafu [[pwani]] ya [[Kanada]] ya leo. Aliita bara jipya "nchi ya [[mzabibu]]" kwa sababu alikuta aina ya mizabibu isipokuwa bila ma[[tunda]].
 
===Chini ya Norwei na DenmarkUdani===
Tangu [[1262]] uhuru wa Iceland ulikwisha kwa sababu viongozi walijiunga na [[Ufalme wa Norwei]]. Iceland iliendelea kuwa na bunge lake na madaraka mbalimbali - hasa kwa sababu [[usafiri]] uliendelea kuwa mgumu - lakini mabwana wakuu walikuwa sasa wafalme wa [[Skandinavia]], kwanza Wanorwei, baadaye Wa[[denmark]].
 
Mstari 92:
 
===Kuanzia uhuru===
Wakati wa [[Vita Kuu ya Dunia ya Pili]] DenmarkUdani ilivamiwa na [[Ujerumani]] na Althing iliamua ya kwamba kuanzia sasa kisiwa kitajitawala kabisa. Mwaka [[1944]] IcelandIsilandi ilipata [[uhuru]] kamili.
 
Baada ya [[vita]] kwisha Iceland ilipata kuwa nchi mwanachama ya [[NATO]] lakini haina [[wanajeshi]] hadi leo. Ilifanya [[mkataba]] na [[Marekani]] ya kuwa Wamarekani wanapewa [[haki]] ya kutumia kituo cha [[Ndege (uanahewa)|ndege]] kisiwani na kwa upande mwingine wanaahidi kutetea Iceland.
Mstari 98:
== Miji ==
[[Picha:Reykjavík séð úr Hallgrímskirkju.jpeg|thumb|200px|Mji wa Reykyavik]]
[[Reykjavík]] ni [[mji mkuu]] wa IcelandIsilandi pia [[bandari]] kubwa na [[kitovu]] cha [[uchumi]] na [[utamaduni]] wa nchi.
 
Miji mingine ni pamoja na [[Akureyri]], [[Kópavogur]], [[Hafnarfjördhur]], [[Keflavík]] na [[Vestmannaeyjar]].
 
== Wakazi ==
Watu wa IcelandIsilandi karibu wote (92.61%) ni Wa[[skandinavia]]. Kati ya wengine, Wapolandi ndio wengi (3.36%).
 
[[Lugha ya Kiiceland|Lugha ya Kiisilandi]] bado inafanana sana na ile ya [[Kinorwei]] cha kale kilicholetwa kisiwani na wakazi wa kwanza miaka 1000 iliyopita. Watu bado wanaelewa ma[[shairi]] yaliyotunzwa tangu zamani ile.
 
Kanisa la kitaifa la Kilutheri ni [[dini rasmi]] ya nchi. Hivyo WaicelandWaisilandi wengi (73.8%) wanahesabiwa kuwa [[Wakristo]] [[Walutheri]], ingawa wengi hawafuati [[dini]]. Wakristo wa [[madhehebu]] mengine, kama vile [[Wakatoliki]], wanafikia 11.7%. Kuna wafuasi wachache sana wa [[imani]] nyingine mbalimbali. Kwa jumla Iceland ni kati ya nchi ambazo zina wakazi wengi wasiomuamini [[Mungu]].
 
== Utamaduni ==
Hadi leo WaicelandWaisilandi hawana majina ya pili au ya [[familia]]. Kila [[mtoto]] anapewa [[jina]] lake la kwanza halafu jina la [[baba]] - wakati mwingine pia jina la [[mama]]. Kama mtoto ni wa kiume "-son" (=mwana) itaongezwa, kama ni binti "-dottir" (binti).
 
Kwa mfano [[mwimbaji]] mashuhuri wa kike [[Björk Guðmundsdóttir]] alipewa jina la "Björk". Baba yake alikuwa Guðmund hivyo anatumia jina hili pamoja na "-dottir": Guðmundsdottir: "Björk binti Guðmund". Kama mwenyewe atamzaa [[binti]] anaweza kuitwa "Björkdottir" lakini mara nyingi jina la baba hutumiwa. [[Wanawake]] wanaendelea na jina hili, hawaliachi wakati wa kuolewa.