Skandinavia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 110 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q21195 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Norden.jpg|thumb|250px|Benderea za nchi za Skandinavia (Ufini, Norwei, Iceland, Uswidi na Denmark (imefunikwa)]]
[[Picha:Skandinavia theluji.png|thumb|250px|Picha ya angani ya Skandinavia wakati wa majira ya baridi - rangi nyeupe ni theluji na barafu inayofunika nchi yote pamoja na sehemu za bahari]]
'''Skandinavia''' ni eneo la [[Ulaya]] ya Kazkazini. Kwa kawaida neno linataja nchi tano za [[Norwei]], [[Uswidi]], [[Denmark|Udani]], [[Ufini]] na [[Iceland]].
 
Kwa njia nyingine "Skandinavia" ni nchi mbili za [[rasi ya Skandinavia]] pekee yaani Norwei na Uswidi.