İsmet İnönü : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb '''Mustafa İsmet İnönü''' (24 Septemba 1884 - 25 Desemba 1973) alikuwa jenerali na mkuu wa serikali wa Uturu...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 04:25, 3 Novemba 2020

Mustafa İsmet İnönü (24 Septemba 1884 - 25 Desemba 1973) alikuwa jenerali na mkuu wa serikali wa Uturuki, ambaye aliwahi kuwa Rais wa pili wa Uturuki kutoka 11 Novemba 1938 hadi 22 Mei 1950