Süleyman Demirel : Tofauti kati ya masahihisho

Mwanasisa wa Uturuki
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb '''Sami Süleyman Gündoğdu Demirel''' (1 Novemba 1924 - 17 Juni 2015) alikuwa kiongozi wa serikali y...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 04:39, 3 Novemba 2020

Sami Süleyman Gündoğdu Demirel (1 Novemba 1924 - 17 Juni 2015) alikuwa kiongozi wa serikali ya Uturuki na kiongozi wa kisiasa ambaye aliwahi kuwa Rais wa 9 wa Uturuki kutoka 1993 hadi 2000. Hapo awali aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Uturuki mara saba kati ya miaka 1965 na 1993