Süleyman Demirel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb '''Sami Süleyman Gündoğdu Demirel''' (1 Novemba 1924 - 17 Juni 2015) alikuwa kiongozi wa serikali y...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Suleyman Demirel 1998.jpg|thumb]]
'''Sami Süleyman Gündoğdu Demirel''' ([[1 Novemba]] [[1924]] - [[17 Juni]] [[2015]]) alikuwa kiongozi wa serikali ya Uturuki na kiongozi wa kisiasa ambaye aliwahi kuwa Rais wa 9 wa [[Uturuki]] kutoka 1993 hadi [[2000]]. Hapo awali aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Uturuki mara saba kati ya miaka 1965 na 1993.
 
==Marejeo==
{{reflist}}
{{Mbegu-mwanasiasa}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1924]]
[[Jamii:Waliofariki 2015]]