Binali Yıldırım : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb '''Binali Yıldırım''' (amezaliwa 20 Desemba 1955) ni mwanasiasa wa Uturuki ambaye aliwahi ku...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 03:37, 5 Novemba 2020

Binali Yıldırım (amezaliwa 20 Desemba 1955) ni mwanasiasa wa Uturuki ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa 27 na wa mwisho wa Uturuki kutoka 2016 hadi 2018