Lorenzo de' Medici : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Lorenzo de' Medici"
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Verrocchio_Lorenzo_de_Medici.jpg|thumb| Picha ya Lorenzo na(mnamo Verrocchio1555-1565.)]]
'''Lorenzo de 'Medici''' (''tamka me-di-chi;'' 1 Januari 1449 - 9 Aprili 1492) alikuwa mfanyabiashara na mwanasiasa katika mji wa [[Firenze]] ''(pia Florence)'' nchini Italia wakati wa [[karne ya 15]]. Aliitwa pia ''Lorenzo il Magnifico'' (Lorenzo adhimu) na watu wa mji wake<ref> Kent, F.W. (2006). Lorenzo De' Medici and the Art of Magnificence. USA: JHU Press. p. 248. ISBN 0801886279.</ref>. Lorenzo alizaliwa katika familia ya Medici waliokuwa wafanyabiashara matajiri na babu yake Cosimo de' Medici aliwahi kupanda ngazi kuwa mtawala wa Firenze.
 
Firenze ilikuwa wakati ule [[dola-mji]] na [[jamhuri]] ya kujitegema iliyokuwa tajiri kutokana na biashara yake ya kimataifa; ilikuwa kitovu cha kiuchumi ambako benki za kwanza za Ulaya zilipozaliwa. Utajiri wa mji uliwezesha taasisi za elimu na kazi ya wasanii wengi, na familia ya Medici ilikuwa kati ya wafadhili mashuhuri zaidi wa elimu na sanaa wakati wa [[zama za mwangaza]].
 
Lorenzo alitumia utajiri wake kuwa kiongozi halisi wa siasa ya Firenze ingawa hakuchaguliwa katika ofisi yoyote<ref>Guicciardini, Francesco (1964). History of Italy and History of Florence. New York: Twayne Publishers. p. 8.</ref>. Wakati wake viongozi waliochaguliwa katika halmashauri ya serikali ya jamhuri hiyo walimtegemea kifedha na kisiasa. Anajulikana zaidi kwa ufadhili wake wa wasanii mashuhuri kama vile [[Sandro Botticelli]] und [[Michelangelo Buonarroti]]. Ufadhili huo na ujenzi wa majengo mazuri kama makanisa na majumba ulikuwa sababu ya kumwita "il magnifico" (mwadhimu).
 
 
Lorenzo mwenyewe alikuwa pia msanii aliyetunga [[Ushairi|mashairi]] . Alizaa watoto 10 na mmoja aliyeitwa Giovanni aliendelea kuwa [[Papa Leo X]].
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
== Kujisomea ==