Lorenzo de' Medici : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Verrocchio_Lorenzo_de_Medici.jpg|thumb|
'''Lorenzo de
Firenze ilikuwa wakati ule [[dola-mji]] na [[jamhuri]] ya kujitegema iliyokuwa tajiri kutokana na [[biashara]] yake ya kimataifa; ilikuwa [[kitovu]] cha [[Uchumi|kiuchumi]] ambako [[benki]] za kwanza za [[Ulaya]]
Lorenzo alitumia utajiri wake kuwa [[kiongozi]] halisi wa [[siasa]] ya Firenze ingawa hakuchaguliwa katika [[ofisi]] yoyote<ref>Guicciardini, Francesco (1964). History of Italy and History of Florence. New York: Twayne Publishers. p. 8.</ref>. Wakati wake viongozi waliochaguliwa katika halmashauri ya [[serikali]] ya jamhuri hiyo walimtegemea kifedha na kisiasa. Anajulikana zaidi kwa ufadhili wake wa wasanii mashuhuri kama vile [[Sandro Botticelli]]
Lorenzo mwenyewe alikuwa pia msanii aliyetunga
==Marejeo==
Mstari 12:
== Kujisomea ==
* Miles J. Unger, ''Magnifico: Maisha ya kipaji na nyakati za vurugu za Lorenzo de Medici'' (Simon na Schuster 2008), wasifu wa Lorenzo.
* Christopher Hibbert, ''Nyumba ya Medici: Kuibuka na Kuanguka kwake'' (Morrow-Quill, 1980); historia ya jumla ya familia.
Line 18 ⟶ 17:
* Peter Barenboim, ''Michoro ya Michelangelo - Ufunguo wa Tafsiri ya Medici Chapel'' (Moscow, Letny Sad, 2006) .
{{mtbegu-mwanasiasa}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1449]]
[[Jamii:Waliofariki 1492]]
[[Jamii:
|