Diamond Platnumz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: Reverted
d Masahihisho aliyefanya 154.74.127.78 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na John Shayo
Tag: Rollback
Mstari 16:
}}
 
'''Naseeb Abdul Juma Isaac''' (maarufu kwa [[jina la kisanii]] kama '''Diamond Platnumz'''; majina mengine ya kisanii ni Chibu na Simba; alizaliwa [[Dar es Salaam]],big [[2 Oktoba]] [[1989]]) ni [[msanii]] wa [[Bongo Flava]] na dansa kutoka [[Tanzania]]. Ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani dhidi ya [[wasanii]] wa ma[[taifa]] mengine. Hivyo ana mashabiki wengi ndani na nje ya [[Tanzania]]. Inasemekana kuwa msanii wa Mashariki na Kati mwa Afrika anayependwa na kupambwa kwa sasa.
na Simba; alizaliwa [[Dar es Salaam]], [[2 Oktoba]] [[1989]]) ni [[msanii]] wa [[Bongo Flava]] na dansa kutoka [[Tanzania]]. Ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani dhidi ya [[wasanii]] wa ma[[taifa]] mengine. Hivyo ana mashabiki wengi ndani na nje ya [[Tanzania]]. Inasemekana kuwa msanii wa Mashariki na Kati mwa Afrika anayependwa na kupambwa kwa sasa.
 
Amekuwa na [[nyimbo]] nyingi zikiwa ni pamoja na "Number One" ambao aliuimba na [[mtaalamu]] wa [[Nigeria]] [[Davido]].