Renaissance : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wikidata interwiki
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Raphael School of Athens.jpg|thumb|400px|''Shule ya Athens'' ni [[mchoro]] wa [[Raphael]]. Haya ni maonyesho ya michoro ya kipindi cha Renaissance picha ya eneo kutoka katika [[Ugiriki ya Kale]], ambao kume shehena wanafalsawanafalsafa maarufu kedekede wa Kigiriki, waandishi, wasanii na wanamahesabuwanahisabati. Raphael alitumia sura za watu mashuhuri wengi kutokana na kipindi chake. AlimtumiaKwa mfano, slimtumia [[Leonardo da Vinci]] kama mfano wake wa kutengenezeakumchora [[Plato]].]]
'''Renaissance''' (pia: '''zama za mwamko''', '''mwamko-sanaa''') ni kipindi cha kihistoria cha [[historia ya Ulaya]] kilichoanza kunako [[miaka ya 1400]], na kikafuatiwa na kipindi cha [[Zama za Kati]], ambacho pia kinajulikana kwa jina maarufu kama [[Middle Ages]].
 
Neno "Renaissance" linatokana nani [[neno]] la [[Kifaransa]] lenye maana ya "kuzaliwa upya". Sababu zilizopelekea kipindi hikihicho kuitwa hivyo ni kwamba, wakati huo, watu walianza kuwa na shauku ya kujifunza kuhusu mambo ya kale, kwa namna moja au nyingi walijufunzawalijifunza kuhusuhasa mambo ya [[Ugiriki ya Kale]] na [[Roma ya Kale]].
'''Renaissance''' (pia: '''zama za mwamko''', '''mwamko-sanaa''') ni kipindi cha kihistoria cha [[Ulaya]] kilichoanza kunako miaka ya 1400, na kikafuatiwa na kipindi cha [[Zama za Kati]], ambacho pia kinajulikana kwa jina maarufu kama [[Middle Ages]].
 
Kwa masomo hayo Renaissance ilionekana kama "kuzaliwa upya" kwa masomo hayo. Renaissance mara nyingi ilisemwa kama ndiyo mwanzo wa "modern age".
Neno "Renaissance" linatokana na neno la Kifaransa lenye maana ya "kuzaliwa upya". Sababu zilizopelekea kipindi hiki kuitwa hivyo ni kwamba, wakati huo, watu walianza kuwa na shauku ya kujifunza kuhusu mambo ya kale, kwa namna moja au nyingi walijufunza kuhusu mambo ya [[Ugiriki ya Kale]] na [[Roma ya Kale]].
 
Wakati huo wa Renaissance, kuliwa na [[wasanii]] wengi sana, wengi wao walikuwa [[waandishi]] na wengi wao walikuwa [[falsafa|wanafalsafa]]. Watu walijifunza mabomambo ya [[hisabati]] na [[sayansi]] mbalimbali. Mtu aliye mjanja wa kujua vitu vingi huitwa "Mtu wa Renaissance". [[Leonardo da Vinci]], ambaye alikuwa [[mchoraji]], [[sayansi|mwasayansimwanasayansi]], [[mwanamuziki]] na pia [[falsafa|mwanafalsafa]], huyu nindiye Mwana Renaissance mashuhurimashuhurizaidi .
Kwa masomo hayo Renaissance ilionekana kama "kuzaliwa upya" kwa masomo hayo. Renaissance mara nyingi ilisemwa kama ndiyo mwanzo wa "modern age".
 
Awali Renaissance ilianzia nchini [[Italia]], lakini punde ikaenea katika [[Ulaya]] nzima. Katika Italia kipindi hikihicho kimegawanyika katika makundihatua matatutatu:-
Wakati huo wa Renaissance, kuliwa na wasanii wengi sana, wengi wao walikuwa waandishi na wengi wao walikuwa [[falsafa|wanafalsafa]]. Watu walijifunza mabo ya [[hisabati]] na [[sayansi]] mbalimbali. Mtu aliye mjanja wa kujua vitu vingi huitwa "Mtu wa Renaissance". [[Leonardo da Vinci]], ambaye alikuwa [[mchoraji]], [[sayansi|mwasayansi]], [[mwanamuziki]] na pia [[falsafa|mwanafalsafa]], huyu ni Mwana Renaissance mashuhuri.
 
Awali Renaissance ilianzia nchini [[Italia]], lakini punde ikaenea katika Ulaya nzima. Katika Italia kipindi hiki kimegawanyika katika makundi matatu:-
 
* Renaissance ya Awali.
* Renaissance ya Juu
* Renaissance ya Mwisho ambayo pia huitwa kipindi cha Mannerist.
Kipindi kilichofuata baada ya Mannerist kilikuwa kinaitwa Baroque[[Baroko]] pambachoambacho pia kilienea Ulaya nzima kunako [[1600]]. Nje ya Italia, ni vigumu kuelezea wapi kipindi cha Renaissance kiliishia na wapi kipindi cha BaroqueBaroko kilianza.
 
Kipindi kilichofuata baada ya Mannerist kilikuwa kinaitwa Baroque pambacho pia kilienea Ulaya nzima kunako 1600. Nje ya Italia, ni vigumu kuelezea wapi kipindi cha Renaissance kiliishia na wapi kipindi cha Baroque kilianza.
== Viungo vya nje ==
* [http://sd71.bc.ca/sd71/school/courtmid/Library/subject_resources/socials/renaissance.htm Links for Middle School students] ''from the Courtenay Middle School Library Collection''
{{mbegu-historia}}
 
[[Jamii:Historia ya Ulaya]]
[[Jamii:Historia ya Italia]]