Renaissance : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Raphael School of Athens.jpg|thumb|400px|''Shule ya Athens'' ni [[mchoro]] wa [[Raphael]]. Haya ni maonyesho ya michoro ya kipindi cha Renaissance picha ya eneo kutoka katika [[Ugiriki ya Kale]], ambao kume shehena wanafalsafa maarufu kedekede wa Kigiriki, waandishi, wasanii na wanahisabati. Raphael alitumia sura za watu mashuhuri wengi kutokana na kipindi chake. Kwa mfano, slimtumia [[Leonardo da Vinci]] kumchora [[Plato]].]]
'''Renaissance''' (pia: '''zama za mwamko''', '''mwamko-sanaa''') ni kipindi cha [[historia ya Ulaya]] kilichoanza kunako [[miaka ya 1400]], namwishoni kikafuatiwa namwa kipindi cha [[Zama za Kati]], (ambacho pia kinajulikana pia kwa [[jina]] maarufu kamala [[Kiingereza]] ''Middle Ages''), hadi [[miaka ya 1500]], mwanzoni mwa nyakati zetu.
 
"Renaissance" ni [[neno]] la [[Kifaransa]] lenye maana ya "kuzaliwa upya". Sababu zilizopelekea kipindi hicho kuitwa hivyo ni kwamba, wakati huo, watu walianza kuwa na shauku ya kujifunza kuhusu mambo ya kale, kwa namna moja au nyingi walijifunza hasa mambo ya [[Ugiriki ya Kale]] na [[Roma ya Kale]].
Mstari 21:
[[Jamii:Historia ya Ulaya]]
[[Jamii:Historia ya Italia]]
[[Jamii:Karne ya 15]]
[[Jamii:Karne ya 16]]