Joe Biden : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Habari za leo
Mstari 1:
[[File:Joe Biden official portrait 2013 cropped.jpg|right|thumb|Joe Biden, Kaimu Rais mteule wa Marekani]]
'''Joseph Robinette "Joe" Biden Jr.''' (amezaliwa [[20 Novemba]] [[1942]]) ni [[mwanasiasa]] wa [[Marekani]].
 
Kuanzia [[mwaka]] wa [[1973]] hadi [[2009]] alikuwa [[mbunge]] wa [[Senati ya Marekani]] akiwakilisha [[Majimbo ya Marekani|jimbo]] la [[Delaware]]. Halafu alikuwa [[Makamu wa Rais wa Marekani]] chini ya [[Rais]] [[Barack Obama]] kuanzia mwaka wa 2009 hadi [[2017]], akiwa [[Mkatoliki]] wa kwanza na pia Mdelaware wa kwanza kuwa Kaimu Rais.
 
Mnamo [[Machi]] wa mwaka [[2019]], Biden alisema anataka kugombea nafasi ya [[Rais wa Marekani]] mwaka [[2020]].<ref>{{cite news|url=https://www.nytimes.com/2019/03/07/us/politics/biden-2020.html|title=Joe Biden's 2020 Plan Is Almost Complete. Democrats Are Impatient.|first1=Jonathan|last1=Martin|first2=Alexander|last2=Burns|date=2019-03-07|via=NYTimes.com|lang=en}}</ref> Joe Biden ateuliwa kuwa raisi wa marekani mnamo tarehe 03/11/2020. Wanahabari wametangaza ushindi wake tar. 07/11/2020.
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
{{Mbegu-mwanasiasa}} Joe biden ateuliwa kua raisi wa marekani mnamo tarehe 07/11/2020
 
{{DEFAULTSORT:Biden, Joseph}}
[[Category:Waliozaliwa 1942]]
[[Category:Watu walio hai]]
[[Category:Rais wa Marekani]]
[[Category:Kaimu Rais wa Marekani]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Marekani]]