Mwanasheria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mwanasheria''' ni [[mtaalamu]] wa [[fani]] ya [[sheria]]. Mara nyingi huingia katika [[kazi]] ya [[wakili]], lakini anaweza vilevile kufundisha sheria katika [[vyuo]], kuwa [[mshauri]] wa [[kampuni]] n.k.
Pia ili kufahamu vizuri kuhusu kazi za mwanasheria ni vema ujiulize maswali haya, ‘Ni nini asili ya Sheria? Sheria inatoka wapi? au chanzo cha sheria ni nini?
Kwa ufupi ni kwamba zipo dhana nyingi na tofauti tofauti sana zinazoelezea asili ya sheria ambazo zimeelezewa na wasomi wa sheria wa karne zilizopita. Hatahivyo wasomi hawa wa sheria wanakubaliana kuwa asili ya sheria inaweza kufuatiliwa tangu kuanza kuishi kwa mwanadamu hapa ulimwenguni. Hivyo msimamo wa wasomi wa sheria wengi ni kuwa sheria ilianza pale watu walipoanza kuishi kama jamii.
 
{{mbegu-sheria}}