Bunilizi ya kinjozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
tafsiri
Mstari 1:
'''Bunilizi ya kinjozi''' (au bunilizi ya kifantasia, kwa [[Kiingereza]] ''phantasy'') ni [[utanzu]] fulani wa [[fasihi andishi]]. Katika [[bunilizi]] hiyo [[mwandishi]] anatumia ma[[tukio]] au wahusika wasio wa kawaida.
 
Mifano ya bunilizi ya ki[[njozi]] katika [[fasihi]] ya [[Kiingereza]] ni: "A Midsummer Night's Dream" (''[[Ndoto ya Usiku Mmoja]]'') ya [[William Shakespeare]], "Gulliver's Travels" (''[[Safari za Guliveri]]'') ya [[Jonathan Swift]], na "The Lord of the Rings" (''[[Bwana wa Mapete]]'') ya [[J.R.R. Tolkien]].