Kiswaga Boniventura Destery : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Kiswaga Boniventura Destery''' ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha Mapinduzi]] ([[CCM]]). Alizawa mnamo [[8.8. Agosti]] [[1994]] katika Kijiji cha Lugeye Wilaya ya Magu , Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa jimbo la [[Magu]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[https://www.parliament.go.tz/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>
 
Amechaguliwa tena kwa mara pili kuwa Mbunge wa Jimbo la Magu Mwaka 2020-2025, huku akipenya kutoka katika kinyanyiro cha makada wa CCM 45 waliojitosa naye katika Ubunge
Mstari 27:
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1994]]