Kiswaga Boniventura Destery : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kiswaga Boniventura Destery''' ni(alizaliwa [[mwanasiasaLugeye]], [[MtanzaniaWilaya ya Magu]] na mwanachama wa, [[chama8 cha MapinduziAgosti]] ([[CCM1994]]). Alizawa mnamoni [[8 Agostimwanasiasa]] [[1994Mtanzania]] katika Kijiji cha Lugeye Wilaya ya Magu , Amechaguliwa kuwa [[Wabungemwanachama wa Tanzania 2015|mbunge]] wa jimbo la [[Magu]]chama kwacha miaka [[2015Mapinduzi]] ([[2020CCM]]). <ref>[https://www.parliament.go.tz/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>
 
Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa jimbo la [[Magu]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[https://www.parliament.go.tz/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref> Amechaguliwa tena kwa mara pili kuwa Mbunge wa Jimbo la Magu Mwakamiaka 2020-2025, huku akipenya kutoka katika kinyanyiro cha makada wa CCM 45 waliojitosa naye katika Ubunge.
 
Kiswaga alipata [[elimu]] yake ya msingi katika [[Shule ya msingi|Shule ye msingi]] ya Salisima iliyoko katika Kijiji cha Lugeye, na baadaye elimu ya [[Sekondari]] katika Shule ya Sekondari ya Bulima. Baadaye alipata mafunzo ya Uongozi na Biashara katika Chuo cha Uongozi kilichopoko [[Kijitonyama]] ambapo alitunukiwa [[astashahada]] ya Uongozi na utawaka wa fedha.
Mstari 13:
Mwaka 2003-2008 alichaguliwa na kuingoza Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi '''(UVCCM)'''Wilaya ya Magu akiwa ni Mwenyekiti wa Wilaya.
 
2012-2017- Alichaguliwa na kuwa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa'''(NEC)'''
 
Halafu alijitosa katika king'anyanyiro cha ubunge na kumwaga wasomi wakiwemo wahandisi na madaktari ambao walichuana naye. Na kuandika Historia ya kuwa mbunge wa nane wa Jimbo la Magu tangu lilipoanzishwa mwaka 1965.
 
Kiswaga pia nje ya Siasasiasa ni Mfanyabiasharamfanyabiashara, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Makampunikampuni yaza '''Lugeye Investment''' na '''Lugeye Oil''' yaliko katika jiji la Mwanza.
 
'''MAISHA NJE YA SIASA'''.
 
Kiswaga pia nje ya Siasa ni Mfanyabiashara, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Makampuni ya '''Lugeye Investment''' na '''Lugeye Oil''' yaliko katika jiji la Mwanza.
 
==Marejeo==
Line 28 ⟶ 25:
[[Jamii:Bunge la Tanzania]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1994]]
[[Jamii:Watu walio hai]]