Nabii Obadia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Abdias.jpg|thumb|right|250px|[[Mungu]] akimtokea Obadia.]]
'''Nabii Obadia''' ([[jina]] la [[Kiebrania]] lenye maana ya "Mtumishi wa [[YHWH]]) alikuwa [[nabii]] wa [[Israeli ya Kale]] baada ya [[Yerusalemu]] kutekwa na kuteketezwa na [[Wababuloni]] ([[586 KK]] hivi).
 
Alitoa [[utabiri]] wa mistari 21 tu dhidi ya [[Edomu]] ambayo inaunda [[kitabu]] cha nne kati ya 12 vya [[Manabii Wadogo]].
Mstari 6:
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa [[tarehe]] [[19 Novemba]]<ref>[[MartyriologiumMartyrologium Romanum]]</ref><ref>http://catholicsaints.info/obadiah-the-prophet/</ref>.
 
==Tazama pia==