Fransisko Nguyen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''{{PAGENAME}}''' ([[1803]]-[[1837]]) ni mmojawapo kati ya [[Wakristo]] [[wafiadini wa Vietnam]] [[kifodini|waliouawa]] kwa ajili ya [[imani]] yao huko [[Vietnam]] katika [[karne ya 17]], [[Karne ya 18|18]] na [[karne ya 19|19]] ([[1625]]–[[1886]]).
 
Wanatajwa pia kama [[Watakatifu]] [[Andrea Dung-Lac|Andrea Dũng-Lạc]] na wenzake 116.
Mstari 5:
Kwa nyakati tofauti, [[Papa Leo XIII]], [[Papa Pius X]] na [[Papa Pius XII]] waliwatangaza kuwa [[wenye heri]], halafu [[Papa Yohane Paulo II]] aliwaunganisha katika kuwafanya [[watakatifu]] [[wafiadini]] tarehe [[19 Juni]] [[1988]].
 
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa kwa pamoja kila tarehe [[24 Novemba]], lakini ya kwake mwenyewe tarehe [[20 Novemba]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==