Rijili Kantori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
| picha = Position Alpha Cen.png
| maelezo_ya_picha = Rijili Kantori - Alpha Centauri katika kundinyota la Kantarusi
| kundinyota = [[Kantarusi|Kantarusi (Centaurus)]]
| Mwangaza unaonekana = +1.33
| kundi la spektra = G2 V
Mstari 17:
}}
 
'''Rijili Kantori''' , '''Rijili Kantarusi''' au [[ing.]] '''Alpha Centauri''' ''(pia: Toliman au Rigil Kentaurus)'' ni [[nyota]] inayong'aa sana katika anga ya kusini kwenye [[kundinyota]] la [[Kantarusi]] ''(pia: [[ing.]] [[:en:Centaurus|Centaurus]])''. Ni nyota ya kung'aa sanaangavu ya nne angani lakini haionekani kwenye nusudunianusu ya kaskazini ya Dunia.
 
Alpha Centauri ni nyota ya pekee kwa sababu ni nyota yetu jirani katika anga ina umbali wa [[miakanuru]] 4.2. Inaonekana angani karibu na kundinyota la Salibu (Crux).
 
==Jina==
Jina la Kiswahili ni Rijili Kantori<ref>Rijili Kantori ni umbo lililorekodiwa na Knappert (1993)</ref> linalotokana na ar. رجل القنطور ''rijil-al-qantur''. Maana ya jina ni "mguu wa [[kentauro|kantori (kentauro)]]" maana mataifa ya kale waliona kundinyota lote kama picha ya kiumbe ambacho ni nusu farasi na nusu binadamu kulingana na [[mitholojia ya Kigiriki]]. Jina la kimagharibi "Rigel/Rigil Centauri"[1] linatokana na jina lilelile la Kiarabu kwa "mguu" yaani رجل inayoandikwa kwa herufi za Kilatini ama "rijil" au "rigil" au "rigel". Ilhali kuna nyota kadhaa zilizotazamiwa kama "mguu" kwenye picha za makundinyota, ni kawaida kuongeza jina la kundinyota yake.
 
Jina la kitaalamu kufuatana na [[majina ya Bayer|mfumo wa Bayer]] ni Alfa Centauri kwa maana ya kwamba ilitazamiwa kuwa nyota ya kwanza katika uangavu kati ya nyota za Kantarusi (Centaur).
 
== Mfumo wa nyota tatu==