Kikyrili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 1:
'''Kikyrili'''Kisirili ni aina ya [[mwandiko]] au [[alfabeti]] inayotumiwa kuandika [[lugha]] mbalimbali za [[Ulaya ya Mashariki]] na [[Asia ya Kati]], kwa mfano [[Kirusi]], [[Kiserbia]], [[Kitajiki]].
 
Jina limetokana na [[mmonaki]] na mtalaamu [[Mgiriki]] [[Kyrilo wa Saloniki|Mt. Kyrilo]] ([[827]] - [[14 Februari]] [[869]]) aliyesemekana aliunda namna hiyo ya mwandiko kwa ajili ya [[lugha za Kislavoni]] pamoja na mdogo wake [[Mt. Methodio]].