Kentauro : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
→Jina: kiungo |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:AC marbles.jpg|thumb|250px|Picha ya kuchongwa ya mapambano kati ya kentauro na binadamu (kutoka [[Parthenoni|hekalu ya Parthenoni]], [[Athini]])]]
[[Picha:Centaur mosaic - Google Art Project - CropFrame - Plus1ev - 28k.jpg|250px|thumb|Kentauro anayepambana na wanyama witu ([[mozaiki]] katika Villa Hadriana karibu na Roma, iliumbwa mnamo mwaka 130 BK)]]
'''Kentauro''' (pia '''kantori''', '''kantarusi''') ni [[kiumbe]] cha [[hadithi]] za [[mitholojia]] ya [[Ugiriki ya Kale]] ambacho ni [[nusu]] [[farasi]] na nusu [[binadamu]].
==Jina==
[[Jina]] lina [[asili]] katika [[Kigiriki]] κένταυρος ''kentauros'',
==Mitholojia==
Kuna hadithi mbalimbali katika [[mitholojia ya Kigiriki]] kuhusu asili ya viumbe hao. Mojawapo ni kwamba walitokea baada ya kubakwa kwa pepo ya mawingu ya kike<ref>[https://www.theoi.com/Georgikos/KentauroiThessalioi.html Kentauroi], katika tovuti ya Theoi Greek Mythology, iliangaliwa Novemba 2020</ref>. Nyingine ilisimulia jinsi gani [[mwanaume]] alizaa kentauro na farasi.
[[Wanahistoria]] wanahisi kwmaba asili ya hadithi hizo ilikuwa mshtuko wa watu ambao hawakutumia farasi walipokutana mara ya kwanza na wageni waliopanda farasi ilhali walishindwa kutofautisha [[mnyama]] na binadamu.<ref>[https://onlinelibrary.wiley.com/doi/abs/10.1111/j.0022-3840.1994.2704_57.x E.A. Lawrence, The Centaur: Its History and Meaning in Human Culture], jarida la Popular Culture, Volume27, Issue4, Spring 1994, Pages 57-68</ref>
Kentauro
==Marejeo==
|