Kolumbani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:San Colombano.jpg|thumb|250px|right|Sura yake inavyoonekana katika dirisha la [[kanisa]] la [[abasia]] ya [[Bobbio]], [[Italia]], ambapo alifariki akazikwa.]]
'''Kolumbani abati''' ([[540]] – [[23 Novemba]] [[615]]; {{lang-ga|Columbán}}, maana yake "Njiwa mweupe"; [[540]] - [[23 Novemba]] [[615]]) alikuwa [[mmonaki]] [[mmisionari]] kutoka [[Ireland]], maarufu kwa kuanzisha [[monasteri]] nyingi na kueneza [[Ukristo]] wa [[Kiselti]] katika nchi mbalimbali za [[Ulaya]] [[bara]], ukiwa ni pamoja na [[kanuni]] kali ya [[utawa|kitawa]], [[malipizi]], na [[maungamo]] ya binafsi kwa [[padri]].
 
AnaheshimiwaTangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]], hasa [[siku]] ya [[kifo]] chake, [[tarehe]] 23 Novemba<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Sala zake==
Mstari 86:
* San Colombano, ''Lettere e poesie'', Abbazia San Benedetto, Milano 1998. ISBN 9788887796360
* ''San Colombano. Le opere'', a cura di Inos Biffi e Aldo Granata, Jaca Book, Milano 2001.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Marejeo==