Tofauti kati ya marekesbisho "Alberti wa Louvain"

22 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|230px|[[Mtemi Alberti akiwa na somo wake Mt. Alberti, mchor...')
 
No edit summary
 
[[image:Archduke Albert with His Patron Saint, Albert of Louvain by P.P. Rubens (1640).jpg|thumb|230px|[[Mtemi]] Alberti akiwa na somo wake Mt. Alberti, [[mchoro]] wa [[Reubens]], [[1640]].]]
'''Alberti wa Louvain''' ([[Louvain]], leo nchini [[Ubelgiji]], [[1166]] hivi &ndash; [[Reims]], [[Champagne-Ardenne]], [[Ufaransa]], [[24 Novemba]] [[1192]]) alikuwa kwa miezi michache [[askofu]] wa [[Liège]] (leo nchini [[Ubelgiji]]) na [[kardinali]] hadi alipouawa bado [[kijana]] kwa kutetea [[uhuru]] wa [[Kanisa]] dhidi ya [[serikali]]<ref>The ''Vita Alberti episcopi Leodiensis'' was probably written around 1194 or 1195 by an anonymous monk of Lobbes, from information supplied by Abbot Werrich, who knew Albert well. Although a panegyric for the murdered bishop, Raymond H. Schmandt considers it generally accurate. A different viewpoint is found in the ''Chronicon Hanoniense'' of Gislebert of Mons, written shortly after 1196.</ref>.
 
Alitangazwa na [[Papa Paulo V]] kuwa [[mtakatifu]] [[mfiadini]] [[tarehe]] [[9 Agosti]] [[1613]].