KUFINA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Random Access Memory HyperX.jpg|thumb|398x398px|Picha ya KUFINA.]]
Katika [[utarakilishi]], '''Kumbukizi Fikio Nasibu''' (kwa [[kifupi]]: '''KUFINA'''; kwa [[kiingereza]]: RAM au Random Access Memory) ni [[Vifaa (tarakilishi)|kifaa]] cha [[tarakilishi]] ambapo [[mfumo wa uendeshaji]] unatunza [[data]] za [[Programu ya kompyuta|programu]] inayotumika sasa ili data zinafikiwa kwa haraka. KUFINA ni aina ya [[kumbukizi]] kwenye [[mashine]].
 
Hapa programu za kompyuta zina nafasi za kupakua data za kazi zao kwa muda. Programu za kisasa zahitaji nafasi kubwa ya kuhifadhi makadirio kwa muda fulani zikiendelea kukamilisha shughuli. Kadi za KUFINA zatoa nafasi kupakua data mahali popote bila kujali mpangilio kwanza. Hii huharakisha kazi ya programu.
 
Sehemu ya KUFINA inaweza kuwa sehemu kwenye bao kuu lakini kwa kawaida hupatikana kwa kadi ndogo zinazowekwa kwenye [[bao kuu]]. Mara nyingi mashine za kompyuta huwa na nafasi ya kuongeza KUFINA au kubadilisha kadi zake kwa kadi yenye nafasi ya kumbukumbu kubwa zaidi. Kumbukumbu kubwa huwezesha komyuta kutekeleza shughuli zake haraka zaidi.
 
Kila safari mashine yazimikwa kumbukizi yote ya KUFINA yapotea.
 
RAM isichanganywe na [[KUSOTU]] ambayo ni aina tofauti ya kumbukizi isiyopotea.
 
== Marejeo ==