Leonardo wa Portomaurizio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:S Leonardo.JPG|250px|thumb|right|Leonardo akiwa amevaa [[kanzu]] yake ya [[Wafransisko|Kifransisko]].]]
'''Leonardo wa Portomaurizio''' ([[Porto Maurizio]], leo [[Imperia]], [[20 Desemba]] [[1676]] -
[[Roma]] [[26 Novemba]] [[1751]]), alikuwa [[mtawa]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] na [[padri]] wa [[Kanisa Katoliki]] kutoka [[Italia]].
Line 14 ⟶ 13:
Ndiye mwenezaji mkuu wa [[Njia ya Msalaba]], [[ibada]] iliyoanza kustawi katika [[karne XV]] ikiwa na vituo 7 hadi 37, mpaka ile ya 14 ilipopewa [[rehema]] ya pekee ([[1686]]) na hivyo kuenea popote.
 
[[Papa Pius VI]] alimtangaza [[mwenye heri]], halafu [[Papa Pius IX]] akamtangaza [[mtakatifu]] [[tarehe]] [[29 Juni]] [[1867]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe ya [[kifo]] chake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Sala yake==