Kiafrikana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kiafrikaans wasemaji Afr Kus.gif|thumbnail|300px|right|[[Afrika Kusini#Majimbo ya Afrika Kusini|Majimbo ya Afrika Kusini]] yenye wasemaji wengi au wengi kidogo wa Kiafrikaans kama lugha ya kwanza]]
'''KiafrikaansKiafrikana''' ('''Afrikaans''') ni [[lugha]] ya [[Afrika Kusini]] iliyotokea katika [[karne]] nne zilizopita kwenye [[msingi]] wa [[Kiholanzi]] pamoja na athari za lugha mbalimbali. Hata kama ni lugha iliyozaliwa [[Afrika]] kitaalamu ni kati ya [[lugha za Kigermanik]].
 
Imekuwa [[lugha rasmi]] katika Afrika Kusini tangu [[mwaka]] [[1925]] badala ya Kiholanzi. Hadi sasa ni lugha rasmi mojawapo Afrika Kusini pamoja na lugha 9 nyingine. Ni pia kati ya [[lugha ya taifa|lugha za taifa]] huko [[Namibia]].