Vienna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 65:
== Utamaduni ==
[[Picha:Wien - Stephansdom (1).JPG|thumb|right|250px|Kanisa Kuu la Mt. Stefano ni kati ya majengo mashuhuri ya Vienna.]]
[[Picha:Schönbrunn Blick auf Gloriette.jpg|thumb|right|250px|Bustani ya ikulu ya "Schönbrunn" kwa mtazamo wa "Gloriette"]]
Kwa karne nyingi Vienna ilikuwa mji mkuu wa dola kubwa. Wafalme na ma[[kaisari]] wa familia ya [[Habsburg]] walitawala Dola Takatifu ya Kiroma hadi 1806 na baadaye na maeneo makubwa ya Ulaya ya kusini-mashariki hadi 1918. Hivyo Vienna ina majengo mazuri inayotunza kumbukumbu ya enzi za kale sio tu mji mkuu wa Austria ndogo ya leo.