Nabii Nahumu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Nahum-prophet.jpg|thumb|Nabii Nahumu katika picha ya [[Waorthodoksi]] ya [[karne XVIII]].]]
'''Nabii Nahumu''' (kwa [[Kiebrania]] '''נחום''', yaani "Aliyefarijiwa na [[Mungu]]") alikuwa [[nabii]] wa[[Mji|mjini]] [[Yerusalemu]] katika [[karne ya 7 KK]], wakati wa [[mfalme Yosia]], aliyetawala [[ufalme wa Yuda|Yuda]] kati ya [[mwaka]] [[640 KK]] na [[609 KK]].
Mahubiri yake yanatunzwa katika '''[[Kitabu cha Nahum'Nahumu]]'' ambacho ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] 12 vya [[gombo]] la [[Manabii wadogo]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) na kwa hiyo pia katika [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kinashangilia kwa [[ufasaha]] wa [[Ushairi|kishairi]] ujio wa maangamizi ya [[dola]] la [[Waashuru]] na ya [[Makao makuu|makao yao makuu]], [[Ninawi]] ([[612 KK]]): hivyo aduimaadui wa [[taifa]] na wa [[Mungu]] hatimaye ataadhibiwawataadhibiwa.
 
Kitarehe kinashika nafasi kati ya kile cha [[nabii Mika]] na kile cha [[Habakuki]].
 
Tangu kale Nahumu anaheshimiwa kama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa [[tarehe]] 1 [[Desemba]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref><ref>https://catholicsaints.info/nahum-the-prophet/</ref>.
 
==Tazama pia==
Mstari 26:
*[http://www.tombofnahum.com Renovation - Al Qush Synagogue and the Tomb of Nahum]
*[http://ocafs.oca.org/FeastSaintsViewer.asp?SID=4&ID=1&FSID=103452 Prophet Nahum] Orthodox [[icon]] and [[synaxarion]]
 
{{mbegu-mtu-Biblia}}
{{DEFAULTSORT:Nahumu}}
[[Jamii:Waliozaliwa karne ya 7 KK]]
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Watakatifu wa Israeli]]