Kasiani wa Tanja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Marcellus Cassian.jpg|thumb|250px|[[Picha takatifu]] ya [[Marselo wa Tanja|Marselo]] na Kasiani wa Tanja katika [[kanisa]] la [[Kiorthodoksi]] la [[Rabat]], Moroko.]]
'''Kasiani wa Tanja''' alikuwa [[Mkristo]] wa [[Moroko]] aliyefia [[dini]] yake kwa kukatwa [[kichwa]] katika [[dhuluma]] ya [[kaisari]] [[Diocletian]] mwanzoni mwa [[karne ya 4Dioklesyano]]. [[Tarehe]] inayotajwa na [[mapokeo]] ni [[3 Desemba]] [[298]]<ref>Geoffrey Ernest Maurice de Sainte-Croix, ''Christian Persecution, Martyrdom, and Orthodoxy'', Oxford University Press, 2006, p. 172:"we must admit that we know nothing of the date or the circumstances of his execution"</ref><ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/80250</ref>.
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[3 Desemba]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref><ref>https://catholicsaints.info/saint-cassian-of-tangiers/</ref>.
 
==Tazama pia==