Herodoti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Herodotus Massimo Inv124478.jpg|thumb|right|Herodoti wa Halikarnassos.]]
'''Herodoti wa Halikarnassos''' ([[484 KK]] hadi [[425 KK]]; kwa [[Kigiriki]] Ἡρόδοτος Ἁλικαρνᾱσσεύς, ''hēródotos halikarnāsséus'') alikuwa [[mwandishi]] wa [[historia]] wakati wa [[Ugiriki waya Kale]].
 
==Maisha==
Mstari 10:
Sehemu kubwa ya [[maandishi]] yake yamepotea; yanajulikana tu kwa sababu yanatajwa katika [[vitabu]] vingine vya kale. Lakini historia yake ya [[vita]] kati ya Wagiriki na [[Uajemi|Wajemi]] wakati wa [[karne ya 5 KK|karne ya 5]] na [[karne ya 6 KK|6 KK]] imehifadhiwa.
 
Kwa jumla hata [[wataalamu]] wa leo hutegemea mara nyingi habari zilizokusanywa na Herodoti juu ya [[Babeli]], [[Misri]], [[Uajemi]] na Ugiriki waya Kale.
 
==Vyanzo==