Kiafrikana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{DISPLAYTITLE:Kiafrikana}}
[[Picha:Kiafrikaans wasemaji Afr Kus.gif|thumbnail|300px|right|[[Afrika Kusini#Majimbo ya Afrika Kusini|Majimbo ya Afrika Kusini]] yenye wasemaji wengi au wengi kidogo wa KiafrikaansKiafrikana kama lugha ya kwanza]]
'''Kiafrikana''' ('''Afrikaans''') ni [[lugha]] ya [[Afrika Kusini]] iliyotokea katika [[karne]] nne zilizopita kwenye [[msingi]] wa [[Kiholanzi]] pamoja na athari za lugha mbalimbali. Hata kama ni lugha iliyozaliwa [[Afrika]] kitaalamu ni kati ya [[lugha za Kigermanik]].
 
Imekuwa [[lugha rasmi]] katika Afrika Kusini tangu [[mwaka]] [[1925]] badala ya Kiholanzi. Hadi sasa ni lugha rasmi mojawapo Afrika Kusini pamoja na lugha 9 nyingine. Ni pia kati ya [[lugha ya taifa|lugha za taifa]] huko [[Namibia]].
 
KiafrikaansKiafrikana ina wasemaji wa [[lugha ya kwanza]] [[milioni]] [[saba]] na milioni [[kumi]] wasemaji kama [[lugha ya pili]].
 
Kiasili kimetokea kama lugha ya [[makaburu]] ya Afrika Kusini lakini imekuwa pia lugha ya wakazi [[chotara]] katika [[jimbo]] la [[Rasi Magharibi]] ("Cape Coloureds"). Leo hii wasemaji wa asili ya [[Ulaya]] ni chini ya [[nusu]] ya wasemaji wote wa KiafrikaansKiafrikana.
 
Inatumika pia [[Botswana]], [[Eswatini]] na [[Zimbabwe]].
 
== Viungo vya nje ==
*[http://www.language-archives.org/language/afr makala za OLAC kuhusu KiafrikaansKiafrikana]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/afri1274 lugha ya KiafrikaansKiafrikana katika Glottolog]
* '''(en)''' [http[ethnologue://www.ethnologue.com/language/afr |Muhtasari kuhusu KiafrikaansKiafrikana kwenye ''Ethnologue'']]
{{African Union languages}}
{{mbegu-lugha}}
 
{{DEFAULTSORT:Afrikaans}}
[[Jamii:Kiafrikaans| Kiafrikana]]
[[Jamii:Lugha za Kigermanik]]
[[Jamii:Lugha za Afrika Kusini]]