Mtoro Bakari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Daah!
Mstari 29:
Taarifa ya [[Gazeti la Kijerumani la Afrika ya Mashariki]] ''(Deutsch-Ostafrikanische Zeitung)'' ilibeba taarifa juu ya tukio hilo na kusifu serikali, ikieleza hofu kwamba mke Mzungu wa Mwafrika angeharibu sifa za Wazungu wote machoni pa wenyeji, hali iliyotazamiwa kuwa hatari hasa katika hali ya vita iliyoendelea wakati ule<ref>[http://zefys.staatsbibliothek-berlin.de/index.php?id=dfg-viewer&set%5Bimage%5D=3&set%5Bzoom%5D=default&set%5Bdebug%5D=0&set%5Bdouble%5D=0&set%5Bmets%5D=http%3A%2F%2Fcontent.staatsbibliothek-berlin.de%2Fzefys%2FSNP23820457-19050916-0-0-0-0.xml ''Mtoro, der ‚jute‘ Ehemann.''], katika ''[[Deutsch-Ostafrikanische Zeitung]]'' v. 16. Septemba 1905, S. 3.</ref>.
 
Baadaye Gavana [[Gustav Adolf von Götzen]] alitangaza amri ya kupiga marufuku ndoa zote kati ya wenyeji na Wajerumani, ambazo zilikuwa halali ndani ya Ujerumani lakini aliweza kutumia mamlaka yake ya pekee ya kutoa sheria kwa koloni yakelake.
 
== Kurudi Ujerumani ==
Oktoba 1905, wenziwenza hao walikuwa wamerudiwalirudi Berlin, ambapo Bakari alidai fidia kutoka kwa serikali kwa dhuluma waliyokuwa wakipata. Mnamo Januari 1906 alimwandikia [[Kaisari Wilhelm II|Kaisari Wilhelm II.]] barua alimoelezea uharamu wa hatua zilizochukuliwa dhidi yake, alielezea hali yake ya kiuchumi akaomba nafasi mpya katika utumishi wa umma - iwe Ujerumani au Afrika Mashariki. Mnamo Februari 1906, hata hivyo, alipokea uamuzi kutoka kwa idara ya kikoloni katika Ofisi ya Mambo ya nje iliyokataa. <ref name="Wimmelbücker 2009 41ff">Ludger Wimmelbücker: ''Mtoro bin Mwinyi Bakari (c. 1869-1927). Swahili Lecturer and Author in Germany. '' Dar es Salaam (Tanzania) 2009, S. 41–63.</ref> Bakari alizingira mlango wa ofisi hiyo kwa wiki kadhaa akijaribu kuzungumza na afisa aliyehusika. <ref name="Hintrager 74">Oscar Hintrager: ''Südwestafrika in der deutschen Zeit.'' München 1955, S. 74.</ref> Mnamo Desemba 1906 mwishowe alimwandikia mkurugenzi wa idara ya kikoloni [[Bernhard Dernburg]]:
 
: “Kutokana na kufunga ndoa halali chini ya sheria ya Ujerumani, nilifukuzwa kutoka nyumbani kwangu huko Afrika Mashariki ya Ujerumani na vyombo vya serikali ya Ujerumani nikakosa ajira hapa Ujerumani. Kwa hivyo ninaomba kwamba Mheshimiwa atakuwa mwema wa kutosha kunisafirisha kurudi nyumbani pamoja na mke wangu na kuniacha niishi huko, au kupata kazi hapa Berlin ambapo naweza kupata riziki yangu kwa njia halali..
 
Ili kuzuia majadiliano ya umma, Ofisi ya Kikoloni iliamua mwaka 1907 kutafuta kazi mpya kwa Bakari. Bakari alikataa nafasi ya mfanyakazi msaidizi katika duka la vitabu la kikoloni kama haitoshi. <ref name="Wildenthal">Lora Wildenthal: ''German Women for Empire, 1884-1945.'' Durham NC 2001, S. 111–120.</ref> <ref name="Wimmelbücker 2009 41ff">Ludger Wimmelbücker: ''Mtoro bin Mwinyi Bakari (c. 1869-1927). Swahili Lecturer and Author in Germany. '' Dar es Salaam (Tanzania) 2009, S. 41–63.</ref>
Mstari 41:
Hapo alipata usaidizi na mchungaji aliyewahi kuwa misionari Carl Meinhof, aliyefundisha pia lugha za Kiafrika kwenye Chuo Kikuu aliyemsaidia kupata wanafunzi wa Kiswahili kutoka shirika za misioni alioweza kufundisha kibinafsi. Hadi muhula wa pili wa 1908/09 aliendesha pia semina kuhusu mada ya [[Uislamu]] . Katika kitabu cha anwani cha Berlin aliorodheshwa mnamo 1908 kama mhadhiri na mnamo 1909 kama [[mmisionari]] . Mwishowe wanaisimu Bernhard Struck na Carl Meinhof walimsaidia Bakari kupata ajira kwenye taasisi mpya ya elimu ya koloni pale Hamburg . Katika barua yake ya kumpendekeza Becker, Meinhof alisifu maarifa ya Bakari, ustadi wake kama mwalimu, busara na ucheshi. <ref name="Wimmelbücker 2009 41ff">Ludger Wimmelbücker: ''Mtoro bin Mwinyi Bakari (c. 1869-1927). Swahili Lecturer and Author in Germany. '' Dar es Salaam (Tanzania) 2009, S. 41–63.</ref>
 
Baada ya kupata kazi kutoka Hamburg, Mtoro Bakari na mkewe waliondoka Berlin mnamo Machi 1909 akaanza kufanya kazi kama "mwalimu msaidizi wa lugha" katika "Semina ya Lugha za Kikoloni" kwenye Taasisi ya Elimu ya Koloni ya Hamburg kuanzia muhula wa pili wa 1909/10. <ref>''Jahrbuch der hamburgischen Wissenschaftlichen Anstalten'' XXVIII (1910), S. 44.</ref> Baada ya miaka kadhaa alipata mzozo na mhadhiri Mjerumani, ambako alihisi anabaguliwa, akalazimika kuondoka katika taasisi ya Hamburg mwaka 1913. Kisha wenziwenza hao wakarudi Berlin. <ref name="Wimmelbücker 2009 64ff">Ludger Wimmelbücker: ''Mtoro bin Mwinyi Bakari (c. 1869-1927). Swahili Lecturer and Author in Germany. '' Dar es Salaam (Tanzania) 2009, S. 64ff.</ref>
 
==Baada ya Vita Kuu==
Hadi miaka ya 1920, Mtoro Bakari alitoa mihadhara juu ya Afrika Mashariki kwenye taasisi mbalimbali katika miji mingi ya Ujerumani kufadhili maisha yake. <ref name="Wildenthal">Lora Wildenthal: ''German Women for Empire, 1884-1945.'' Durham NC 2001, S. 111–120.</ref> <ref name="Wimmelbücker 2009 64ff">Ludger Wimmelbücker: ''Mtoro bin Mwinyi Bakari (c. 1869-1927). Swahili Lecturer and Author in Germany. '' Dar es Salaam (Tanzania) 2009, S. 64ff.</ref> Baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]], Bakari aliona mara kwa mara changamoto ya ubaguzi wa rangi kwa sababu watu walimwona kama mmoja wa askari wa Kifaransa kutoka kolonia za Kiafrika waliowahi kuvamia maeneo ya magharibi ya Ujerumani kwenye Mto Rhine tangu 1919. Kwa hiyo Bakari aliandika barua kwa serikali ya Ujerumani mnamo 1922 ombi la kupewa barua ya ulinzi inayoweza kuonyeshwa kwenye mamlaka ya miji mbalimbali ili aweza kupata malalo bila kusumbuliwa kwenye safari zake za kufundisha. <ref>zit. n. Marianne Bechhaus-Gerst: ''Kiswahili-speaking Africans in Germany before 1945.'' In: ''Afrikanistische Arbeitspapiere'' (AAP) 55 (1998), S. 155–172, hier: S. 161.</ref>
 
Kuanzia 1914 kuendelea, akina Bakari waliishi kwenye nyumba Lichtenrader Strasse 40 pale Berlin-Neukölln. Alipoaga dunia kwenye umri wa miaka 58, alizikwa kwenye makaburi ya Waturuki pale Berlin.<ref>Wimmelbücker, uk. 32</ref>