Melanesia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 79 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q37394 (translate me)
No edit summary
Mstari 4:
'''Melanesia''' ni eneo la [[Bahari ya Pasifiki]] kaskazini ya [[Australia]]. Ni moja kati ya makundi makubwa matatu ya visiwa vya Pasifiki pamoja na [[Mikronesia]] na [[Polynesia]].
 
Jina lake limeundwa na maneno ya [[Kigiriki]] ya νῆσος ''kisiwa'' na μέλας ''cheusi'' yaani "visiwa vyeusi" au zaidi "Visiwa vya Weusi". Mpelelezi na nahodha Mfaransa [[Jules Dumont d'Urville]] alitunga jina hili 1832 akitaka kutaja tabia ya wakazi wazalendo waliokuwa na rangi nyeusi-nyeusi.
 
== Watu na utamaduni ==