Melanesia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kunyosha lugha kidogo
Mstari 4:
'''Melanesia''' ni eneo la [[Bahari ya Pasifiki]] kaskazini ya [[Australia]]. Ni moja kati ya makundi makubwa matatu ya visiwa vya Pasifiki pamoja na [[Mikronesia]] na [[Polynesia]].
 
Jina lake limeundwa na maneno ya [[Kigiriki]] ya νῆσοςμέλας ''kisiwacheusi'' na μέλαςνῆσος ''cheusikisiwa'' yaani "visiwa vyeusi" au zaidi "Visiwa vya Weusi". Mpelelezi na nahodhaNahodha Mfaransa [[Jules Dumont d'Urville]] alitunga jina hili 1832 akitaka kutaja wakazi wazalendo waliokuwa na rangi nyeusi-nyeusi.
 
== Watu na utamaduni ==