Content deleted Content added
Mstari 80:
 
. Asante sana Ngugu Kipala, na mimi naipokea kwa heshima kubwa na tahadhima, na naahidi kuendeleza juhudi. '''[[Mtumiaji:Olimasy|Olimasy]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Olimasy#top|majadiliano]])''' 05:29, 8 Desemba 2020 (UTC)
 
==Matangazo ya Kivietnam==
Ulimwandikia [[Majadiliano ya mtumiaji:Tylekeoso]] salamu nzuri. Alijaza ukurasa wake kwa matini ya Kivietnam. Hao tumeshaona mara nyingi. Unaweza kuweka yaliyomo katika google translate Kivietnam-Kiingereza utaona ni matangazo ya kibiashara tu. Riccardo na mimi tumezoea kufuta kurasa hizi moja kwa moja na kuzuia akaunti za wachangiaji. Hao si watu waliokosa kupeleka habari kwetu; nadhani ni programu zinazotafuta nafasi kwenye intaneti kusambaza matangazo ya kibiashara. Sijafuatalia sijui kama programu zimewekwa hasa kutushambulia sisi lakini nahisi wanajaribu kote duniani. Kwa hiyo usisite kufuta na kubana. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 11:30, 8 Desemba 2020 (UTC)