Content deleted Content added
Mstari 87:
.Sambamba na hilo kuna huyu mtumiaji anaitwa Alex kutoka Autria nimeona makala zake chache anatumia google translator moja kwa moja nakupakia matini kwenye swwiki nilivo mfuatilia anasema anajifunza kiswahili, sasa nafikiri kumtafutia mbadala wa kukutana na wewe inawezekana? '''[[Mtumiaji:Olimasy|Olimasy]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Olimasy#top|majadiliano]])''' 11:52, 8 Desemba 2020 (UTC)
::Alex gani? '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 12:50, 8 Desemba 2020 (UTC)
ːːHana username ila anahalili sana miji ya Austria na ujerumani. '''[[Mtumiaji:Olimasy|Olimasy]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Olimasy#top|majadiliano]])''' 12:57, 8 Desemba 2020 (UTC)