Papa Gregori III : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Papa Gregori III''' alikuwa [[Papa]] kuanzia [[tarehe]] [[18 Machi]] [[731]] hadi [[kifo]] chake tarehe [[28 Novemba]] [[741]].
 
Alizaliwa katika nchi ya [[Syria]], wa mwisho kutokea nje ya [[Ulaya]] hadi alipochaguliwa [[Papa Fransisko]] [[mwaka]] [[2013]].
 
Alimfuata [[Papa Gregori II]] akafuatwa na [[Papa Zakaria]].
Mstari 8:
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[2810 NovembaDesemba]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Mstari 20:
 
== Viungo vya nje ==
*[http://www.newadvent.org/cathen/06789a.htm Kuhusu Papa Gregori III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki]
{{Mapapa}}
{{mbegu-Papa}}