Tofauti kati ya marekesbisho "Edmundi Gennings"

No change in size ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '200px|thumb|right|Mt. Edmundi. '''Edmundi Gennings''' (Lichfield, Uingereza, 1567London, 10 Desemba [...')
 
No edit summary
'''Edmundi Gennings''' ([[Lichfield]], [[Uingereza]], [[1567]] – [[London]], [[10 Desemba]] [[1591]]) alikuwa [[Mkristo]] wa [[Kanisa la Anglikana]] kabla hajajiunga na [[Kanisa Katoliki]].
 
Baada ya kuhamia [[Ufaransa]], aliingia [[seminari]] kwa kengolengo la kurudi kwao kufanya [[uchungaji]] usioruhusiwa na [[serikali]], akapewa [[daraja]] ya [[upadri]] ([[1590]]).
 
Hapo alirudi [[London]] lakini baada ya muda mfupi [[kifodini|aliuawa]] kwa kunyongwa kikatili chini ya [[sheria]].