Tofauti kati ya marekesbisho "Edmundi Gennings"

26 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
Baada ya kuhamia [[Ufaransa]], aliingia [[seminari]] kwa lengo la kurudi kwao kufanya [[uchungaji]] usioruhusiwa na [[serikali]], akapewa [[daraja]] ya [[upadri]] ([[1590]]).
 
Hapo alirudi [[London]] lakini baada ya muda mfupi [[kifodini|aliuawa]] kwa kunyongwa kikatili na kukatwa vipandevipande chini ya [[sheria]].
 
[[Papa Paulo VI]] [[tarehe]] [[25 Oktoba]] [[1970]] alimtangaza kuwa [[mtakatifu]] [[mfiadini]] pamoja na wenzake 39.