Lusia wa Sirakusa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Saint Lucy by Domenico di Pace Beccafumi.jpg|thumb|right|250px|''Mt. Lusia'' alivyochorwa na [[Domenico Beccafumi]], [[1521]], ([[Pinacoteca Nazionale (Siena)|Pinacoteca Nazionale]], [[Siena]])]]
 
'''Lusia wa Sirakusa''' ([[283]]–[[304]]), maarufu kama ''Mtakatifu Lusia'' alikuwa [[msichana]] [[bikira]] na [[tajiri]] wa [[Sirakusa]], [[Sicilia]], [[Italia]] ambaye alitetea [[imani]] yake ya [[Ukristo|Kikristo]] hadi kuuawa wakati wa [[dhuluma]] ya [[kaisari]] [[Dioklesyano]].
 
Anachorwa akishika mkononi [[sinia]] yenye [[macho]] yake aliyonyofolewa kabla hajauawa.
Kwa sababu hiyo anaheshimiwa tangu zamani kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[13 Desemba]].
 
Kwa sababu hiyo anaheshimiwa tangu zamani kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]]. [[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[13 Desemba]].
Anachorwa akishika mkononi [[sinia]] yenye macho yake aliyonyofolewa kabla hajauawa.
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[13 Desemba]] <ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Line 12 ⟶ 13:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
Line 24 ⟶ 28:
[[Category:Waliozaliwa 283]]
[[Category:Waliofariki 304]]
[[Category:Watakatifu wa Italia]]
[[Category:Mabikira]]
[[Category:Wafiadini Wakristo]]
[[Category:Watakatifu wa Italia]]