Imani sahihi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 113.185.40.186 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni Tag: Rollback |
No edit summary |
||
Mstari 7:
==Historia==
Matumizi ya [[neno]] hilo yanashuhudiwa kwanza na [[Codex Iustinianus]] (Mkusanyo wa [[Justiniani I]]) ya miaka [[529]]-[[534]], inayodai ma[[dayosisi|jimbo]] yote [[duniani]] yawekwe chini ya ma[[askofu]] waliokubali [[kanuni ya imani]] ya [[mtaguso mkuu]] [[Mtaguso I wa Nisea|wa Nisea]]<ref>[http://www.perseus.tufts.edu/hopper/text?doc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0057%3Aentry%3Do%29rqo%2Fdocos Liddell & Scott]; [http://www.freewebs.com/vitaphone1/history/justinianc.html Code of Justinian]: "We direct that all Catholic churches, throughout the entire world, shall be placed under the control of the orthodox bishops who have embraced the [[Nicene Creed]]."</ref>
Baada ya [[farakano la mwaka 1054]] kati ya [[Kanisa la Kilatini]] na [[Makanisa ya Mashariki]] ambayo yalikuwa bado na [[ushirika]] na [[Papa]] wa [[Roma]], ingawa pande zote mbili ziliendelea kujiona ya ''Kiorthodoksi'' na ya [[Katoliki|Kikatoliki]], polepole neno la kwanza limekuwa likitumiwa zaidi na [[Ukristo wa Mashariki]] na lile la pili na [[Ukristo wa Magharibi]].
|