Saturnini wa Toulouse : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Saturninus vignay.jpg|275px|thumb|''Kifodini cha Mt. Saturnini'' katika [[mchoro mdogo]] wa [[karne ya 14]].]]
'''Saturnini wa Toulouse''' ([[Patras]], [[Ugiriki]], [[karne ya 3]] - [[Toulouse]], [[Galia]], leo nchini [[Ufaransa]], [[257]] hivi) alikuwa [[askofu]] wa [[Kanisa Katoliki]] katika [[mji]] huo hadi alipouawa katika [[dhuluma]] ya [[kaisari]] [[Decius]] kwa kutupwa chini kutoka [[mlima]]ni.
 
Kadiri ya [[wanahistoria]] [[Wakristo]]<ref>The ''[[Roman Martyrology|Vetus Martyrologium Romanum]]'' (1961) under Die 18 Decembris: Quintodecimo Kalendas Januarii: "Turonis, in Gallia, Sancti Gatiani Episcopi, qui, a Sancto Fabiano Papa primus ejusdem civitatis Episcopus ordinatus est, et multis clarus miracolis obdormivit in Domino".</ref>. chini ya [[kaisari]] [[Decius]] ([[250]] BK), [[Papa Fabian]] alituma maaskofu 7 kutoka [[Roma]] kwenda [[Gallia]] (Ufaransa wa leo) wakahubiri [[Injili]]: [[Grasyano wa Tours|Grasyano]] huko Tours, [[Trofimo wa Arles|Trofimo]] huko [[Arles]], [[Paulo wa Narbonne|Paulo]] huko [[Narbonne]], Saturnini huko [[Toulouse]], [[Denis wa Paris|Denis]] huko [[Paris]], [[Austremoni]] huko [[Clermont-Ferrand|Clermont]] na [[Martial wa Limoges|Martial]] huko [[Limoges]].
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]].