Kifini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Kifini''' (kwa kifini: ''Suomisuomi'') ni [[Lugha za Kifini-Kiugori|lugha ya Kifini-Kiugori]] nchini [[Ufini]], [[Urusi]] na [[Uswidi]] inayozungumzwa na [[Wafini]]. Ni [[lugha rasmi]] nchini Ufini. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kifini nchini Ufini imehesabiwa kuwa watu milioni 5.1. Pia kuna wasemaji 201,000 nchini Uswidi (2009) na 38,900 nchini Urusi (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifini iko katika kundi la Kifini.
 
{{mbegu-lugha}}